Monday, 1 July 2013

Kupanda

39. Kadiri unavyozidi kupanda juu ndivyo utakavyoanguka vibaya.

www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Kadiri unavyozidi kutumia madawa ya kulevya ndivyo madhara yake yatakavyokuwa makubwa! Hivyo acha kukingali bado mapema.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...