Friday, 17 May 2013

London


Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
London-Heathrow
Kitovu cha ndege zilizowabeba makamishna wa tume kutoka sehemu mbalimbali kwenda Copenhagen kuhudhuria kikao cha dharura.

http//www.enockmaregesi.com


2 comments:

  1. Randall Buchanan Ortega, Miranda Cashman, Hussein Kashoggi na Murillo Montana (makamishna wa kanda za Tume ya Dunia za Amerika ya Kaskazini, Ulaya, Afrika ya Kaskazini na Amerika ya Kusini kwa mpangilio huo) walipitia hapo kwenda na kutoka Copenhagen kuhudhuria kikao cha dharura.

    ReplyDelete
  2. It's the best in Europe, if not world.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...