Monday, 13 May 2013

Unyamaume

32. Sifa kubwa ya Murphy ni udadisi lakini kubwa zaidi ni unyamaume. Haogopi kitu. Anaheshimu sheria.

http//www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Mnyamaume ni mtu asiyeogopa kitu ikiwemo sheria lakini wakati huohuo akiheshimu sheria. Murphy alionyesha ujasiri wa hali ya juu kukubali kuonana na Debbie Patrocinio bila kujua kama Debbie alikuwa jambazi au mtoto mwema wa rais!

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...