Thursday, 9 May 2013

Insignia


Kolonia Santita Insignia (Alama ya Uhalifu ya Kolonia Santita)

4 comments:

  1. Vichwa vitatu vya sururu na chembe tatu za bunduki za Kalashnikov; na alama ya bahati, mafanikio, udhalimu na mwanzo mpya ya msalaba wa swastika, kama alama ya ujenzi na uhalifu wa Kolonia Santita.

    ReplyDelete
  2. Kolonia Santita Insignia si alama ya 'Freemasonry'. Uashihuru hauna alama kama hiyo. Ni alama ya vituo vya udhibiti wa magonjwa CDC na taasisi za afya za kitaifa NIH. Hutumiwa na Kolonia Santita kwa sababu El Tigre (The Tiger, Panthera Tigrisi, miongoni mwa majina mengi) anamiliki makampuni ya kikemia na ujenzi katika mabara yote ya Amerika na bara la Asia. Rangi nyeusi inawakilisha nguvu za giza, rangi nyekundu inawakilisha hatari, vichwa vitatu vya sururu vinawakilisha biashara, chembe tatu za bunduki zinawakilisha halafa. Ni alama ya uhalifu ya Kolonia Santita.

    ReplyDelete
  3. Hiyo ni symbol ya AFYA (hata Muhimbili ipo) sio ya Dini ya Mashetani - haina uhusiano wowote na Freemasonry!!

    ReplyDelete
  4. Nakupongeza sana kk Maregesi kwa ubunifu wako wa hali ya juu!

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...