Kolonia Santita Insignia (Alama ya Uhalifu ya Kolonia Santita)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...

Vichwa vitatu vya sururu na chembe tatu za bunduki za Kalashnikov; na alama ya bahati, mafanikio, udhalimu na mwanzo mpya ya msalaba wa swastika, kama alama ya ujenzi na uhalifu wa Kolonia Santita.
ReplyDeleteKolonia Santita Insignia si alama ya 'Freemasonry'. Uashihuru hauna alama kama hiyo. Ni alama ya vituo vya udhibiti wa magonjwa CDC na taasisi za afya za kitaifa NIH. Hutumiwa na Kolonia Santita kwa sababu El Tigre (The Tiger, Panthera Tigrisi, miongoni mwa majina mengi) anamiliki makampuni ya kikemia na ujenzi katika mabara yote ya Amerika na bara la Asia. Rangi nyeusi inawakilisha nguvu za giza, rangi nyekundu inawakilisha hatari, vichwa vitatu vya sururu vinawakilisha biashara, chembe tatu za bunduki zinawakilisha halafa. Ni alama ya uhalifu ya Kolonia Santita.
ReplyDeleteHiyo ni symbol ya AFYA (hata Muhimbili ipo) sio ya Dini ya Mashetani - haina uhusiano wowote na Freemasonry!!
ReplyDeleteNakupongeza sana kk Maregesi kwa ubunifu wako wa hali ya juu!
ReplyDelete