Monday, 20 May 2013

Kupenda

33. Kama huwezi kumpenda mtu usimchukie.

http//www.facebook.com/koloniasantita

5 comments:

  1. Amani itaweza kupatikana iwapo watu watapendana na kuheshimiana na si kuchukiana na kudharauliana. Huwezi kumpenda kila mtu. Huwezi kumchukia kila mtu. Kwani kila mtu yuko tofauti. Usipomchukia mtu usiyeweza kumpenda utamwona kama mtu wa kawaida na kwa mtazamo huo amani itaweza kudumishwa.

    ReplyDelete
  2. Kutokumchukia mtu usiyeweza kumpenda ni hekima ya hali ya juu kuweza hata kujaribu kufanya hivyo!

    ReplyDelete
  3. Ukitaka kumsahau mtu au kitu usimchukie au usikichukie kwa sababu kuchukia kuna nguvu sawa na kupenda.

    ReplyDelete
  4. When you are loved by so few and hated by so many you should love so many and hate so few.

    ReplyDelete
  5. Ukimpenda mtu anakuwa moyoni mwako, ukimchukia anakuwa kichwani mwako. Hivyo unaweza kuchanganyikiwa bure, usichukie.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...