Enock Abiud Mugini Maregesi (Author of Kolonia Santita)
Born in Tanzania but currently living and working in the United Kingdom.
Kolonia Santita is my first book - fast-paced thriller with real heart.
http//www.enockmaregesi.com
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
Enock Abiud Maregesi alizaliwa Mwanza, Tanzania, na kukulia Musoma na Dar es Salaam, Novemba 25, 1972. Amesomea teknolojia ya habari na utawala wa biashara katika Chuo Kikuu cha Wales, na uandishi wa habari na vitabu katika chuo cha ubunifu wa kifasihi cha Manchester (The Writers Bureau) nchini Uingereza. Hadithi ya Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi ni kitabu chake cha kwanza kilichohamasishwa na wakongwe wa riwaya wa Tanzania – kama Elvis Musiba, Euphrase Kezilahabi na Ben Mtobwa – na utafiti yakinifu wa miaka kumi na nane wa ujasusi, madawa ya kulevya, ugaidi wa kimataifa na silaha za maangamizi za kikemia na kibiolojia. Anakaa Reading nchini Uingereza ambako anasoma na kufanya kazi.
ReplyDeletePongezi tele zikufikie kwa kazi hiyo kubwa uliyoamua kuifanya kaka yangu Maregesi popote ulipo.
ReplyDeleteAsante dada umepotea! Za Coventry?
ReplyDeletePicha yafaa kukuwakilisha duniani so professional!
ReplyDeleteMurua. Nzuri. Inafaa kwa cover ya kitabu na hata kuitumia kwa kujitangazia ulimwenguni.
ReplyDeleteNzuri kaka yangu usijali tuko pamoja!
ReplyDeleteWow, great picture.
ReplyDelete