Monday, 7 January 2013

Utu

14. Acha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta.

http://www.facebook.com/koloniasantita

6 comments:

  1. Migogoro inatokea kwa sababu watu wameshindwa kuheshimiana. Ukijiheshimu na ukaheshimu wengine; utaacha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta, wakati ukiingia.

    ReplyDelete
  2. Amani itapatikana kama kila mmojawetu atajiheshimu na kuheshimu wengine.....Kwa mtindo huo tutaacha dunia kama Mungu alivyotaka iwe - paradiso.

    ReplyDelete
  3. Iwapo kila mtu atamheshimu mwenzake kama anavyojiheshimu mwenyewe; tunaweza kuishi mbinguni duniani ... lakini kwanza tuwe na maarifa binafsi.

    ReplyDelete
  4. Nadhani ukiwa na moyo wa kusaidia watu, heshima, mapenzi na imani ya Mungu, utaacha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta.

    ReplyDelete
  5. Be nice to the planet, people and animals.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...