Monday, 14 January 2013

Kujiua

15. Kujiua ni ubinafsi kwa sababu ya watu wanaokupenda.

http://www.facebook.com/koloniasantita

7 comments:

  1. John Murphy akitoa wosia kwa mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio.

    ReplyDelete
  2. Bora kutafuta ushauri nasaha kwa psychiatrists kabla ya kujiua. Kila tatizo lina dawa yake.

    ReplyDelete
  3. Mtu hachagui kujiua; hutokea pale maumivu ya moyo yanapozidi uwezo wa mwili kupambana na matatizo hayo, hivyo ni swala la kisaikolojia na kibailojia zaidi kuliko maamuzi ya mtu binafsi.

    ReplyDelete
  4. Familia ina wajibu wa kuingilia kati haraka inavyowezekana mwanafamilia mwenzao anapokuwa katika njia panda ya maisha. Kushindwa kumzuia mtu kujiua ni sawa na kushiriki kumuua binadamu mwenzako.

    ReplyDelete
  5. Japan kujiua ni kitu cha kawaida lakini bado sisupport dhana ya mtu kuchukua maisha yake mwenyewe. My sister took her own life cause she thought dad didn't love her as much as he loved the rest of us all. We're all broken as a result of dat and dad went into a looong depression, that ultimately led to their divorce.

    ReplyDelete
  6. I'm sorry for your sister, Melissa! And parents too, for their divorce.

    ReplyDelete
  7. Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto akukaribishe bazarai kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda zaidi kuliko unaowapenda. Anayejiua hujifikiria zaidi yeye kuliko wengine.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...