286.
Kitu kigumu kuliko vyote usikikatie tamaa, hasa kile unachojua
kikifanikiwa kitasaidia watu wengi, kwani kuna uwezekano kikawa kizuri
na chenye manufaa zaidi kuliko vyote.
Unapokuwa unafukuzia ndoto, njia ya kuifikia ndoto hiyo aghalabu huwa ngumu sana; lakini pale inapotimia, ndoto hiyo huwa kitu kizuri kuliko vyote.
Kama kwako msamaha ni kitu kigumu kuliko vyote ni kizuri kuliko vyote ukiumudu, kwani kigumu kuliko vyote ni kizuri kuliko vyote.

No comments:
Post a Comment