Monday 26 March 2018

Kama Watanzania Wamelaaniwa Wamejilaani Wenyewe

270. Watanzania wana tabia ya kumwomba Mungu badala ya kumshukuru.

Kama Watanzania wamelaaniwa wamejilaani wenyewe. Wana tabia ya kumwomba Mungu lakini hawana tabia ya kumshukuru, baada ya kupata au kukosa.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...