Wednesday, 13 December 2017
Dodge Ram
Dodge Ram, gari la majambazi wa Kolonia Santita, lililohusika katika utekaji nyara wa mpelelezi mashuhuri wa Tume ya Dunia kutoka Israeli Daniel Yehuda, lililokuwa na watu saba ndani, liliisindikiza teksi iliyombeba Yehuda; toka Uwanja wa Ndege wa Copenhagen, hadi Msitu wa Mfalme wa Kangelunden, karibu na Ukumbi wa Kimataifa wa Bella Center, huko TÄrnby, jijini Copenhagen.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
- 
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
 - 
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
 

No comments:
Post a Comment