CS-Miami ni tawi la Kolonia Santita nchini Marekani. Lina watu katika miji mikubwa 78 ya Marekani, kuanzia Miami mpaka New York – mpaka Los Angeles, California. Linaongozwa na Moreno Morales, ‘El Chupacabra’, au ‘Zimwi’, mkimbizi kutoka Meksiko anayeishi Miami kinyume cha sheria toka mwaka 1988.
Pichani ni jiji la Miami, Florida; na jumba la Morales lililotaifishwa na Tume ya Dunia mwaka 1993, baada ya Operation DC kukamilika rasmi jijini Oslo.
No comments:
Post a Comment