Tuesday 7 November 2017

Sanduku la Samsonite


Sanduku la Samsonite lililotumiwa na jambazi wa Kolonia Santita Roger Prideux, jambazi wa CS-Paris, kubebea bomu lililoisambaratisha ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa “Flight 279”, kama ilivyoelezewa katika kitabu cha “Kolonia Santita”.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...