Tuesday 10 October 2017

Zaka Huondoa Laana ya Mapato

Zaka husaidia kueneza injili duniani kote. Ukitoa zaka umesaidia kueneza injili duniani kote. Toa zaka na mapato yako yatabarikiwa. Usitoe zaka na mapato yako yatalaaniwa.

Tunapaswa kulipa zaka na sadaka kwa maendeleo ya injili ya Yesu Kristo ulimwenguni kote.

Zaka ni njia ya Mungu ya kufadhili injili.

1 comment:

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...