Monday, 9 October 2017

Mtetezi wa Uafrika

246. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtetezi wa uafrika. Kwa sababu yake tunajua sisi ni nani.

Sisi ni watoto wa Nelson Mandela; sisi ni watoto wa Kwame Nkrumah; sisi ni watoto wa Haile Selassie; sisi ni watoto wa Samora Machel; sisi ni watoto wa Robert Mugabe; sisi ni watoto wa Patrice Lumumba; sisi ni watoto wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Tunajua sisi ni nani.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...