248. Mwenye dhambi hataweza kuitunza Sabato kwa sababu kiasili, moyo wake unamchukia Yesu na unapenda dhambi.
Warumi 8:7 ni uthibitisho tosha kwamba kiasili binadamu anamchukia Mungu na anapenda dhambi: “Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii.”
Akili inaendesha mwili, lakini moyo unaendesha roho. Kuwa makini na moyo wako.
Ukiamini kama mwili wako ni wa Kristo na ni kanisa, utaitunza Sabato.
ReplyDeleteSoma zaidi kuhusu Sabato hapa: http://bit.ly/2yGhyZ7
ReplyDelete