Tuesday, 5 September 2017

Paseo de la Reforma

Paseo de la Reforma (Reforma Boulevard), Mexico City, Meksiko: Barabara maarufu kuliko zote Mexico City inayofananishwa na Champs-Elysées, barabara maarufu kuliko zote Paris, John Murphy alipokutana na mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio kwa mara ya kwanza, katika mgahawa wa Angus Steak Inn.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...