Tuesday, 15 August 2017

London-Heathrow

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa London-Heathrow, London, nchini Uingereza. Hapo ndipo ndege zilizowabeba makamishna wa tume kutoka sehemu mbalimbali kwenda Copenhagen kuhudhuria kikao cha dharura cha Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya zilipopitia.

Randall Buchanan Ortega, Miranda Cashman, Hussein Kashoggi na Murillo Montana (makamishna wa kanda za Tume ya Dunia za Amerika ya Kaskazini, Ulaya, Afrika ya Kaskazini na Amerika ya Kusini kwa mpangilio huo) walipitia hapo kwenda na kutoka Copenhagen kuhudhuria kikao cha dharura.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...