Thursday, 25 May 2017

Kiatu cha Kijeshi cha BFR

BFR – kiatu cha kijeshi kutoka Singapuri chenye uwezo wa kuzuia risasi na mabomu ya ardhini – kilichookoa maisha ya mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Tunisia Sajini Radia Hosni, Vijana wa Tume walipokuwa wakipambana na Kolonia Santita huko Frederiksberg (manispaa ndani ya manispaa ya Copenhagen), nchini Denmaki.

Viatu vya kijeshi vya BFR (‘Blast and Fragment Resistant’) kutoka Singapuri, vilichangia kwa kiasi kikubwa kukamilika kwa operesheni ndogo ya Tume ya Dunia Operesheni Kimbunga; bila maafa kwa Vijana wa Tume au kwa Tume ya Dunia.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...