Gari la Debbie huchukua sekunde 12 kutoka kilometa 0 mpaka kilometa 210 kwa saa. Huchukua sekunde 10 kutoka kilometa 210 kwa saa mpaka kilometa 0. Lina uwezo wa kusimama haraka kuliko linavyoweza kukimbia.
Mercedes-Benz 600 SEL 6.0-litre V12 M 120 engine (408 hp, 580 nm) – Gari la mtoto wa Rais wa Meksiko, Debbie Patrocinio Abrego.
No comments:
Post a Comment