Sunday, 30 April 2017

Ua la Waridi

Marciano Moreno Herrera, kabla hajauwawa na wanajeshi wa Kolonia Santita wa autodefensa, alikuwa na utaratibu kila siku wa kumtumia maua ya waridi mchumba wake Debbie Patrocinio Abrego popote alipokuwa; tangu Debbie na familia yake walipohamia Mexico City kutokea Durango, ambako baba yake alikuwa kada mashuhuri wa chama cha kisiasa cha PRI.

Debbie alimpenda Marciano kwa sababu ya waridi! Kwa sababu ya waridi alimpenda Murphy hali kadhalika.

1 comment:

  1. Jibu la kwa nini John Murphy alitumia waridi kuteka akili ya Debbie Patrocinio!

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...