Thursday, 27 April 2017

Panthera Tigris

Panthera Tigris ni chui adimu anayepatikana nchini Siberia karibu na Urusi, mkubwa na mwenye nguvu kuliko wote duniani, miongoni mwa wanyama zaidi ya elfu ishirini wanaofugwa na Panthera Tigrisi, kiongozi wa Kolonia Santita.

Panthera Tigris ni mnyama mkubwa na mwenye nguvu kuliko wote ambaye yeye na Jesús Malverde, jambazi sugu wa Meksiko wa karne ya kumi na tisa, aliyekuwa akiiba pesa kwa matajiri na kuwapatia maskini na hivyo kuhamasisha majambazi wengi kusaidia jamii zao na kujifunza falsafa ya Kichina ya Yin-Yang ya usawa kwa watu wote, pamoja na jambazi sugu wa Marekani wa mwanzoni mwa karne ya ishirini Alphonse Gabriel ‘Al’ Capone, ni mashujaa wa maisha ya Panthera Tigrisi.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...