Wednesday, 15 February 2017

Sentensi Bora Katika Medani ya Uandishi

Sentensi bora katika medani ya uandishi ni sentensi fupi, angavu, sahihi, yenye mantiki, na kamilifu.

Sentensi ni mkusanyiko wa maneno unaoanza na herufi kubwa na kuisha na alama ya kushangaa, kuuliza, au nukta. Sentensi bora ni sentensi fupi, isiyokuwa na maneno mengi; angavu, inayoeleweka vizuri isiyokuwa tata; sahihi, inayofuata kanuni za fasihi; yenye mantiki, inayoleta maana; na kamilifu, iliyokamilika.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...