Saturday, 18 February 2017

Pingu za Hekima

Ujasusi ni kitu cha muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote. Watu wanaoshughulika na ujasusi wanapaswa kuwa makini mno kwani kazi yao ni nyeti sana kulinganisha na kazi za watu wengine. Kosa dogo la kiusalama linaweza kubadili mwelekeo wa historia ya nchi.

Katika nukuu hii ya picha kuna alama inaitwa Pingu za Hekima (‘Wisdom Knot’). Yaani, hekima na busara, ustadi katika kufanya mambo, akili na uvumilivu. Hizo ndizo sifa anazopaswa kuwa nazo afisa wa Usalama wa Taifa.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...