Wednesday, 1 February 2017

Jalada la Kolonia Santita

Kitabu cha Kolonia Santita sasa chaingia mkoani Arusha: Kase Stores Ltd, ELCT Building, Boma Road, Simu: 027-2502640, Fax: 2548980, Baruapepe: kasestores@habari.co.tz.

Kinapatikana pia mkoani Iringa: Lutengano Bookshop, Simu: 0784 361 984.

Dar es Salaam: TPH Bookshop, Samora Avenue, Simu: 0687 238 126; MAK Bookshop, Mlimani City Shopping Mall, Simu: 0682 015 119 au 0687 014 740.

Wahi nakala yako!

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...