Wednesday, 14 December 2016

Single Letters and Commas Matter

Nimeandika kurasa zote 406 za kitabu changu kwa maneno ya Kiswahili. Hata majina ya nchi yameandikwa kwa Kiswahili. Badala ya ‘Nigeria’, kwa mfano, nimeandika ‘Nijeria’. Hivyo ndivyo ilivyoandikwa katika kamusi ya Kiswahili. Hii inaweza kuonekana kama mimi ni mchunguzi sana wa mambo, na kwamba watu wanaweza kuona harakati zangu kama jambo la mzaha! Hata hivyo, kila herufi na koma ina maana.

1 comment:

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...