Friday, 28 October 2016

Masikio Mawili

Mungu alitupa masikio mawili na ulimi mmoja kwa sababu kusikiliza ni kugumu kuliko kuongea! Sikiliza kabla ya kuongea.

1 comment:

  1. You want to help your daughter feel “heard” and “understood”? Don’t always be so quick to answer and to speak. Listen. Yes, just listen. Ask questions that are not yes or no questions, and listen to her. I think one of the reasons people were drawn to Jesus was because He listened and asked great questions. Many girls want an ear and if asked the right questions, they may come to the conclusions you are hoping they will without you needing to lecture them. You may even learn a thing or two from them. – Kristy Fox

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...