Dikteta uchwara ni sifa nzuri au sifa mbaya? Tafakari. JPM ni kipenzi
cha watu. Lissu ni kipenzi cha watu pia. Kupambana na kipenzi cha watu
si kazi rahisi.
http://www.enockmaregesi.wordpress.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...

Dikteta uchwara ni sifa nzuri na Lissu analijua hilo kwa sababu yeye ni mwanasheria, na JPM analijua hilo kwa sababu yeye ni Rais wa nchi. Rais ni alama ya utulivu wa nchi. Hatima ya Lissu iko mikononi mwa JPM.
ReplyDeleteDikteta ni kiongozi anayetawala nchi kwa amri ya kwake mwenyewe bila ya kushauriwa na mtu, hasa yule aliyeingia madarakani kwa mtutu wa bunduki. Dikteta uchwara si dikteta, ni dikteta nusu.
ReplyDelete