Monday, 1 August 2016

Heshima

184. Heshima hujengwa kwa hekima, haijengwi kwa misuli.

http://www.facebook.com/koloniasantita 

2 comments:

  1. Ukitaka watu wakuheshimu usitumie mabavu. Tumia hekima. Maana, watu hawaheshimu wewe ni nani au unatoka wapi, wanaheshimu nguvu ya matendo yako. Kama una tatizo na mtu usichukue uamuzi wa haraka. Ongea na watu kupata hekima.

    ReplyDelete
  2. Behave professionally and let any bad feelings out of life!

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...