Friday, 22 July 2016

Mohamed Mkonongo

Pumzika kwa Amani rafiki yangu Mohamed Mtaturu Mkonongo. Nilikutegemea sana. Ulinifundisha hekima ya kukataliwa!

1 comment:

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...