Saturday, 19 December 2015

KBC

Kutoka kushoto: Mhariri wa Lugha wa Kampuni ya Uchapishaji wa Vitabu ya EAEP ya Kenya Lucas Wafula, Dkt Lizzy Attree, Enock Maregesi, Anna Samwel Manyanza, Profesa Abdilatif Abdalla, nguli wa utangazaji wa KBC na Rais wa PEN Kenya Khainga O’Okwemba, Profesa Mukoma wa Ngugi; baada ya sisi sote kuhojiwa na Khainga katika kipindi cha Books CafĂ© cha KBC, chenye wasikilizaji zaidi ya milioni tano duniani kote.

http://www.enockmaregesi.wordpress.com

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...