Monday, 2 November 2015

Malaika

2 comments:

  1. Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.

    ReplyDelete
  2. Hakuna 'superman' au 'superwoman' atakayekuja 'from nowhere' kukusaidia kama hutaki kujisaidia mwenyewe. 'Superman' au 'superwoman' ni wewe mwenyewe utakayeyaangalia maisha yako ya kila siku.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...