Riwaya ya Kiswahili ya kijasusi kutoka kwa Maregesi.
Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.
Hakuna 'superman' au 'superwoman' atakayekuja 'from nowhere' kukusaidia kama hutaki kujisaidia mwenyewe. 'Superman' au 'superwoman' ni wewe mwenyewe utakayeyaangalia maisha yako ya kila siku.
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.
ReplyDeleteHakuna 'superman' au 'superwoman' atakayekuja 'from nowhere' kukusaidia kama hutaki kujisaidia mwenyewe. 'Superman' au 'superwoman' ni wewe mwenyewe utakayeyaangalia maisha yako ya kila siku.
ReplyDelete