Monday, 26 October 2015

WODEC-Intelligence

2 comments:

  1. Mojawapo ya misingi ya ujasusi ni kuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya unachojua, usichojua na unachofikiria. Unaweza kusema unajua wakati hujui. Maamuzi yasiyo sahihi ya kijasusi huweza kuiletea tume madhara makubwa.

    ReplyDelete
  2. Watu wa intelijensia wanapaswa kuwa makini mno kwa sababu kazi yao ni nyeti sana kulinganisha na kazi zingine. Kosa dogo la kiusalama linaweza kubadili mwelekeo wa historia.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...