122. Tuwape watoto wetu haki yao ya msingi ya kuwa watoto katika siku za
ujana wao, kabla hawajawa watoto tena watakapokuwa wakubwa.
http://www.enockmaregesi.wordpress.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...

-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
Uwanja wa Ndege wa Copenhagen-Roskilde: uliotumiwa na Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa pamoja – kilometa tisa kutoka katika Kanisa ...
Watoto hawatakiwi kuchungwa kupita kiasi hasa katika kipindi hiki ambacho dunia imekata tamaa. Ukiwanyima watoto uhuru wa kuwa watoto leo watakuwa na uhuru wa kuwa watoto kesho. Uhuru utakaowanyima wakiwa wadogo watakuja kuutafuta baadaye wakiwa wakubwa. Wakiutafuta baadaye wakiwa wakubwa hawataeleweka vizuri katika jamii. Wape watoto uhuru wanaostahili kupata lakini si uhuru wa kila kitu.
ReplyDeleteAngalia kisa cha Marehemu Michael Jackson, aliyekuwa mwanamuziki wa Marekani. Michael Jackson hakupata uhuru wa kuwa mtoto alipokuwa mtoto, badala yake alikuwa mtoto tena alipokuwa mkubwa.
ReplyDeleteUkiwanyima watoto nafasi ya kuwa watoto leo watakuwa watoto kesho.
ReplyDeleteWape watoto uhuru wa mahesabu, lakini si uhuru wa shaghalabaghala.
ReplyDeletehttp://enockmaregesi.blogspot.com/2013/02/watoto.html