Spishi ya miti kama mfune inayopatikana katika bara la Amerika ya Kaskazini iitwayo 'Fagus Grandifolia' au 'American Beech', Kiongozi wa Kanda ya Amerika ya Kaskazini ya Tume ya Dunia Kamishna Profesa Randall Buchanan Ortega alipoegemea huko Boston nchini Marekani; Dereva wa Tume Wayne Serrano alipompa tiketi ya ndege ya shirika la ndege la Uingereza (BA) ya kwenda Copenhagen, kuhudhuria kikao cha dharura cha Tume ya Dunia.
http://www.enockmaregesi.wordpress.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...

-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...
-
120. Wakati mwingine tukitaka kutambulika hatuna budi kuweka mbele aibu ya heshima yetu. http://www.enockmaregesi.wordpress.com
-
157. Kuzaliwa ni heshima kubwa tulivyopewa sisi wanadamu. Tafuta nafasi katika nchi yako, kuacha alama katika dunia. http://www.facebook...
Kwa sababu za kijiografia, katika majira ya baridi, kimasaa, Copenhagen haina tofauti na Tunis, Tunisia na London, Uingereza. Iko mbele kwa masaa sita kuilinganisha na Boston, Massachusetts, Marekani; na La Paz, Bolivia, Amerika ya Kusini. Iko nyuma kwa masaa mawili kuilinganisha na Dar es Salaam, Tanzania; na nyuma kwa masaa matano na nusu kuilinganisha na Yangon (Rangoon), Myama (Bama), Kusini-mashariki mwa bara la Asia. Faksi ya Oslo ilifika katika ofisi za Kanda ya Amerika ya Kaskazini ya Tume ya Dunia jijini Boston asubuhi ya Jumatano (Jumatano hiyohiyo ilipotumwa) wakati kamishna akiwa Burlington katika mojawapo ya kliniki zake za madawa ya kulevya. Kamishna, alivyorudi ofisini mchana, alipewa taarifa za faksi na maelekezo yote ya safari yake ya Copenhagen; hivyo akaenda nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya safari, lakini akatumia muda mwingi nje ya nyumba katika mti wa 'Fagus Grandifolia'; ambapo mawazo yalimsonga na kupitiwa na usingizi. Dereva wa Tume Wayne Serrano alipofika kuleta tiketi ya ndege kamishna alijiandaa; kisha Serrano akamwendesha mpaka uwanja wa ndege wa Logan, ambapo Ortega alisafiri kuelekea Copenhagen nchini Denmaki.
ReplyDeleteKiongozi wa Kanda ya Amerika ya Kaskazini ya Tume ya Dunia, na Mshauri wa Madawa wa Gavana wa Massachusetts, Kamishna Profesa Randall Buchanan Ortega wa Boston nchini Marekani, alikuwa mstari wa mbele katika vita kati ya Kolonia Santita na Tume ya Dunia. Kamishna ni mtu aliyewahi kukumbana na matatizo mengi katika operesheni za tume, hivyo alikuwa na hofu kubwa alipopata faksi ya Oslo – iliyomtaka aondoke haraka kwenda Copenhagen kuonana na Kamishna Mkuu wa Tume ya Dunia.
ReplyDeleteOrtega aliwah kunusurika kifo zaidi ya mara nne akipapambana ana magaidi wa madawa ya kulevya !
ReplyDeleteCara Gemuk Badan
ReplyDeleteObat Gemuk
Vimax Original
Obat Kuat Pria
Vibrator sex
Alat Bantu Sex
Obat Kuat
Pembesar Penis
Pemutih Kulit Alami
Viagra
Pelangsing Badan
cara Menghilangkan Tato
Cara Diet Alami
Obat Vimax
Vimax Asli
penghapus tato
Lintah Papua
Cara memperbesar penis
Crystal X
Cara Kembali Perawan
Penghilang tato
Cara cepat hamil