Monday, 9 February 2015

Wanawake

123. Pesa ina maana kwa sababu ya wanawake.

http://www.enockmaregesi.wordpress.com 

9 comments:

  1. Pesa ni ya muhimu kwa sababu ya mahitaji ya lazima ya wanadamu kama vile chakula, maji, malazi, elimu, usafi, mavazi, na afya, lakini ni ya maana kwa sababu ya wanawake.

    ReplyDelete
  2. Ikiwa huna pesa na una mke na watoto kwa mfano, mke wako (wanawake walio wengi) hatakuona wa maana kwa sababu ya ustawi wa maisha ya familia yake. Ikiwa una mwanamke asiyekuwa na busara au hekima ya kutosha, au mwanamke ambaye akili zake zimefyatuka kidogo, atakusaliti kutafuta bwana au mtu mwenye maana. Kama huna pesa huna maana kwa mwanamke.

    ReplyDelete
  3. Mwanamke anayo haki ya msingi kulalamika asipopewa pesa na mwanamume.

    ReplyDelete
  4. Mwanamke akikuomba pesa, mpe!

    ReplyDelete
  5. 'If you don’t make money you don’t make sense.'

    ReplyDelete
  6. Kama huna hela kuna uwezekano mkubwa wa mwanamke kukudharau – kukuona huna maana. Kama mwanamke hana hela kuna uwezekano mdogo wa mwanamume kumdharau – kumwona hana maana.

    ReplyDelete
  7. Fundisho katika Falsafa ya Wanawake ni kutumia pesa yako vizuri ili uheshimike.

    ReplyDelete
  8. Tumia pesa kibahili, si kibadhiri.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...