Monday, 26 January 2015

Kiakili

121. Nina matatizo ya kiafya: Udadisi wa hali ya juu wa kiakili.

http://www.enockmaregesi.wordpress.com 

5 comments:

  1. Kwa sababu ya udadisi wa hali ya juu nasoma kila kitu ninachokutana nacho hasa vile visivyonipendeza. Ukitaka kupata maarifa usisome tu vitabu vinavyokupendeza. Soma vitabu visivyokupendeza.

    ReplyDelete
  2. Soma kila kitu, hata katiba.

    ReplyDelete
  3. Udadisi wa hali ya juu wa kiakili ni 'acute intellectual curiosity' kwa lugha ya kigeni.

    ReplyDelete
  4. Soma vitabu visivyopendeza vilivyoandikwa na waandishi mahiri.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...