121. Nina matatizo ya kiafya: Udadisi wa hali ya juu wa kiakili.
http://www.enockmaregesi.wordpress.com  
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
- 
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
 - 
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
 

Kwa sababu ya udadisi wa hali ya juu nasoma kila kitu ninachokutana nacho hasa vile visivyonipendeza. Ukitaka kupata maarifa usisome tu vitabu vinavyokupendeza. Soma vitabu visivyokupendeza.
ReplyDeleteRead non-interesting books!
ReplyDeleteSoma kila kitu, hata katiba.
ReplyDeleteUdadisi wa hali ya juu wa kiakili ni 'acute intellectual curiosity' kwa lugha ya kigeni.
ReplyDeleteSoma vitabu visivyopendeza vilivyoandikwa na waandishi mahiri.
ReplyDelete