Thursday, 1 January 2015

Baraka

Nawatakia wote heri ya mwaka mpya na baraka tele!

http://www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. Mwaka 2015 ni mwaka wa kutoka. Mungu akikuruhusu kutoka toka kikamilifu.

    ReplyDelete
  2. Mwaka mpya ukifika watu husherehekea kwa vifijo na nderemo! Pumzi ikifika hawasherehekei. Kwa nini?

    https://enockmaregesi.wordpress.com/2013/12/30/mwaka/

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...