http://www.enockmaregesi.com
Friday, 8 August 2014
Jesús
http://www.enockmaregesi.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...

Katika Ofisi ya Makao Makuu ya Kolonia Santita Duniani iliyoitwa Alcántara, Carlos Pulecio Alcántara, kulikuwa na Ofisi ya Siri ya Kiongozi wa Kolonia Santita Panthera Tigrisi; na makamanda wake wawili wa juu kabisa katika shirika lake la kimataifa. Nyuma ya ‘Kiti cha Enzi’ cha Panthera Tigrisi (ukutani) kulikuwa na sanamu kubwa la chui mkubwa na mwenye nguvu kuliko wote duniani wa Siberia (Panthera Tigris) na picha kubwa ya Alphonse Gabriel ‘Al’ Capone, jambazi sugu wa Marekani wa mwanzoni mwa karne ya ishirini, kushoto kwa sanamu. Kulia kwa sanamu kulikuwa na picha ya Jesús Malverde, jambazi sugu wa Meksiko wa mwishoni mwa karne ya kumi na tisa, shujaa wa maisha ya Eduardo Chapa de Christopher na Gortari Manuel; na Panthera Tigrisi, anayeabudiwa mpaka leo na majambazi sugu na watu wengi wa kawaida katika nchi za Latino.
ReplyDelete