Monday, 11 August 2014

Sentensi

97. Sentensi bora katika medani ya uandishi ni sentensi fupi, angavu, sahihi, yenye mantiki, na kamilifu.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Sentensi ni mkusanyiko wa maneno unaoanza na herufi kubwa na kuisha na alama ya kushangaa, kuuliza, au nukta. Sentensi bora ni sentensi fupi, isiyokuwa na maneno mengi; angavu, inayoeleweka vizuri isiyokuwa tata; sahihi, inayofuata kanuni za fasihi; yenye mantiki, inayoleta maana; na kamilifu, iliyokamilika.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...