Gari la kifahari la mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Denmaki Frederik Mogens Schaldemose Friis Brodersen (Frederik Mogens), Renault Safrane, lililotumika kuwabeba Vijana wa Tume jijini Copenhagen katika harakati za Operation DC (Operation Devil Cross).
http://www.enockmaregesi.com 
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
- 
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
 - 
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
 

Renault Safrane ya Frederik Mogens ndiyo iliyotumika kumpokea John Murphy na Daniel Yehuda katika Uwanja wa Ndege wa Copenhagen Kastrup; na ndiyo iliyotumiwa na Daniel Yehuda kwenda na kurudi Frederiksberg (nje ya Copenhagen) kuchunguza kwa mara ya mwisho Makao Makuu ya CS-Copenhagen (Tawi la Kolonia Santita Skandinavia), kabla ya kutekeleza Operation Kimbunga ya Operation Devil Cross.
ReplyDeleteGari la Mogens lilikuwa na uwezo wa kubadilika rangi kati ya nyeusi na kijivu kwa sababu za kiusalama. Namba zake za usajili zilikuwa haziwezi kusomwa na kompyuta za polisi wa Copenhagen, na zilikuwa na uwezo wa kubadilika na kuwa namba yoyote ambayo Mogens angetaka.
ReplyDeleteKatika kompyuta za magari ya polisi wa Copenhagen namba za usajili za magari ya Mogens zilisomeka 'Blocked', kama zilivyo namba za usajili za magari mengi ya kifalme na machache ya kiserikali ya Denmaki.
ReplyDelete