Monday, 21 July 2014

Pesa

94. Mtu anayesema pesa haijampa furaha hana nia ya kusaidia watu.

http://www.facebook.com/koloniasantita

4 comments:

  1. Heri kuishi kama maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka, kuliko kusema mbele za watu kwamba pesa haijakupa furaha. Wengi hupata jeuri ya kusema hivyo kutokana na umaskini wa watu wanaowazunguka.

    ReplyDelete
  2. Maskini mwenye pesa nyingi ni tajiri bahili. Tajiri mwenye mifuko iliyotoboka ni tajiri badhiri.

    ReplyDelete
  3. Ukisema pesa haijakupa furaha halafu watu wakakuona unafuja pesa ni unafiki. Badala ya kufuja pesa, toa msaada katika jamii iliyosaidia kukulea ulipokuwa mdogo.

    ReplyDelete
  4. Money may not be able to buy happiness, but it does help you sort out problems, do extravagant things for yourself just to feel good, and help those you love by sheltering them from need. Very soon, when you no longer fall prey to financial worries, you will become someone who is much more serene, fulfilled, and open.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...