Friday, 21 February 2014

PSS Vul

Bastola ya John Murphy aliyoipenda kuliko zote iitwayo PSS Vul – tamka ‘PSS Val’, maalumu kwa ajili ya makomandoo wa Department V wa KGB wa Urusi, bado kuna utata jinsi Murphy alivyoipata ya kwake.


1 comment:

  1. John Murphy alimiliki silaha nyingi mbalimbali lakini PSS Vul ni silaha ya kipekee kabisa kati ya zote alizowahi kumiliki. Vul ilikuwa na uwezo wa kubeba risasi sita na kidonge kimoja cha 'cyanide', ili akitekwa akimeze na kufa kuliko kutoboa siri za EAC na Tume ya Dunia. Majambazi wa CS-Moscow walivyokuta Murphy ana Vul huko Smolenskaya Prospekt mjini Moscow, walijua ni mtu hatari na ndiyo maana wakampeleka Yugo Zapadnaya kwa ajili ya kumtesa na kummaliza.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...