Monday, 17 February 2014

Kitabu

72. Lengo la jina la kitabu ni kuishawishi hadhira kusoma dibaji, na lengo la dibaji ni kuishawishi hadhira kusoma salio la kitabu kizima.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Majina ya vitabu yanapaswa kuchaguliwa kwa mantiki na kwa makini ya hali ya juu mno, kwa sababu ni miongoni mwa vitu vya kwanza watu wanavyoviona na kuvisoma. Watu wakivutiwa na jina la kitabu, au mwandishi; kitu cha pili watakachovutiwa kuangalia ni dibaji, kusudi wasome muhtasari wa kitabu kizima. Kwa hiyo dibaji inapaswa iandikwe kwa mantiki na kwa makini ileile iliyotumika katika kuchagua jina la kitabu. Lengo la jina la kitabu na dibaji ni kuishawishi hadhira kusoma kitabu na kukifurahia.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...