Thursday, 13 February 2014

SIG Sauer

Bastola ya Panthera Tigrisi aliyoipenda kuliko zote iitwayo Sig Sauer P220 – tamka ‘Sig Sawa’ P220 – aliyojilindia dhidi ya Vijana wa Tume na watu wengine huko Oaxaca na Mexico City nchini Meksiko.

http://www.enockmaregesi.com

2 comments:

  1. Licha ya pete kubwa ya dhahabu na kidani kidogo cha almasi kwenye pete hiyo katika mkono wake wa kulia kwa ajili ya unajimu; alama nyingine kubwa ya Panthera Tigrisi ni bastola ya Kijerumani ya SIG Sauer na bunduki ya Kirusi ya AK-47 au Kalashnikov, ijulikanayo huko Meksiko kama 'cuerno de chivos' au 'mapembe ya mbuzi' kwa lugha ya Kiswahili; huku walinzi wake wakitembea na bunduki fupi nene za Kibelgiji zenye uwezo wa kutoboa kinga ya risasi za FNP90 ('mata policias' au 'kiboko cha polisi' kwa tafsiri ya Kiswahili. Popote 'Jefe de Jefes' (Bosi wa Mabosi) alipokwenda alitembea na silaha hizo, hata kanisani huko Oaxaca na Sinaloa.

    ReplyDelete
  2. Bastola hiyo ndio iliotumika kumuua katibu muhtasi wa Panthera Tigrisi binti huyo aliporuhusu kitabu cha siri kiibiwe na John Murphy,na ndio aliyomtisha nayo Kimbunga kwenye ukumbi wa Damu ya Paka baada ya kimbunga kubishana na Bosi wake! I love the picture!

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...