Kolonia Santita ilipozaliwa, mwaka 1980, katika mji wa Salina Cruz katika kitongoji cha Santita.
http://www.enockmaregesi.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
- 
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
 - 
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
 

Kolonia Santita (CS-14) ni genge hatari kuliko yote la madawa ya kulevya katika eneo lote la Hemisifia ya Magharibi. Lilianzishwa mwaka 1980 kwa kuunganisha magenge saba ya madawa ya kulevya ya Amerika, Meksiko na Kolombia, na magenge mengine madogomadogo zaidi ya tisini ya Amerika ya Kusini na Kaskazini. Genge hili kubwa, pengine kuliko yote duniani lakini kubwa kuliko Medellín la Pablo Escobar na Cali la Gilberto Orejuela, lilianzishwa na watu kumi na nne kwa lengo la kujiimarisha kibiashara ndani na nje ya Hemisifia ya Magharibi (na kupanua wigo wa biashara yao kimataifa – kuanzia Hemisifia ya Magharibi mpaka ya Mashariki, Kusini na Kaskazini). Magenge hayo ni Baja California, Matamolos, Guanajuato (Meksiko), The Benson Brothers of Chicago, The Family (Marekani) na Cartagena na Diablos de Amazonas au Mashetani wa Amazoni (Kolombia). Benson Bennett Stansfield ('El Tigre') wa Marekani, Gortari Manuel ('El Padrino') wa Meksiko na Eduardo Chapa de Christopher ('El Chupacabra') wa Kolombia ndiyo wakurugenzi waanzilishi wa CS-14. Wengine ni Ignacio Leonardo de la Fuente, Marciano Moreno Herrera (Hana uhusiano na mchumba wa Debbie), Giovanni Gonzalez Murillo, Herrera Monteagudo, Panceano Nieto, Raymundo Escoto Martinez (kutoka Meksiko), José Alberto Araújo, Victor Miguel Enrique, Javier Ricardo Antonio, Carlos Pulecio Alcántara, Roberto Mosquera Portocarrero (kutoka Kolombia) na Freeman Boyd Figueroa kutoka Amerika.
ReplyDeleteKolonia Santita maana yake ni Kitongoji cha Santita. Kitongoji cha Santita ndipo Kolonia Santita ilipozaliwa.