Monday, 27 January 2014

Imani

69. Imani huchukua miaka mingi kuijenga lakini sekunde chache kuibomoa.

http://www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. kumwamini mtu inachukua muda mrefu lakini iman hiyo inaweza kuvunjika haraka ka ma mtu huyo ata-misbehave.. kwa mfano, girlfriend wako wa miaka mingi anaweza kutokukuamini tena endapo atagumdua umetembea kimapenzi na mwanamke mwingine. Ukifanya hivyo (kutembea na mwanamke mwingine na akajua) atachukua muda mchache sana kutokukuamini kuliko muda aliochukua kujenga imani kwako! I like the post!

    ReplyDelete
  2. Kujenga uaminifu sio kazi rahsi lkn kuubomoa ni kazi rahsi

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...